Serikali kununua ndege ya kumwagilia dawa shambani
Naibu waziri wa kilimo Antony Mavunde amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji ili kufikia lengo la kumwagilia hekta milioni 10 ifikapo mwaka 2030 huku ikijipanga kununua ndege ya kumwagilia dawa mashambani