Wanafamilia wadai kutishiwa maisha na mtoto wao
Mzee John Sanga(81) mkazi wa Mtaa wa Power House mjini Njombe na Mkewe Mariam Sanga(62)wamesema maisha yao yako hatarini kutokana na vitisho wanavyopokea kutoka kwa mtoto wao ambaye anashinikiza familia hiyo kugawa mali anazodai zilichumwa na mama yake kabla hajatengana na baba yake.