Rais Samia azawadiwa saa, ng'ombe na mchele
Wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani Manyara hii leo Novemba 23, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, amepewa zawadi mbalimbali na viongozi pamoja na wazee wa mkoa huo ikiwemo, mchele, saa, vitunguu na mavazi ya kimilia.