"Tuweke akiba ya chakula tuwauzie majirani"- Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuweka akiba ya chakula cha kutosha nchi na hatimaye kuwauzia majirani, kwani huko mbeleni kuna hatari ya dunia kukabiliwa na njaa.