Lindi wahimizwa kujikinga na UKIMWI
Kuelekea maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, waliopata maambukizi pamoja na wataalam mkoani Lindi wamewasihi vijana kujua afya zao ili waweze kuanza kutumia dawa kwani takwimu inaonyesha wapo katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI.