Watupwa jela miaka kumi kwa mauaji ya bodaboda
Mahakama kuu kanda ya Morogoro imewahukumu kwenda jela miaka 10 Nasoro Athuman (24) na Abdullah Ramadhan (29) baada ya kupatikana na hatia ya kuuwa waendesha pikipiki maarifu kama bodaboda mkoani Morogoro kwa nyakati tofauti.