Watu 130 watekwa nyara Nigeria Mamlaka katika jimbo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria la Zamfara zinasema watu wasiopungua 130 wametekwa nyara na watu wenye silaha katika mfululizo wa mashambulizi katika maeneo mawili tofauti ya jimbo hilo. Read more about Watu 130 watekwa nyara Nigeria