Wizara yataja kuthamini afya ya mama na mtoto
Wizara ya Maliasili na Utalii imeeleza kuwa inathamini afya ya mama na mtoto kupitia mapato ya utalii yanayotokana na maeneo yaliyohifadhiwa ambapo kwa sasa inachangia zaidi ya asilimia 17 ya pato la Taifa.