Polisi kuteketeza silaha zote haramu
Jeshi la Polisi nchini limesema Novemba 22, 2022, litateketeza silaha haramu zilizosalimishwa kwa hiari katika kampeni maalumu iliyofanyika nchi nzima kuanzia Septemba 01 hadi Oktoba 31 mwaka huu iliyokuwa ikiongozwa na kauli mbiu isemayo "Silaha haramu sasa basi, salimisha kwa hiari".