BFT kutangaza kikosi cha Timu ya Taifa wanawake Shirikisho la Ngumi Nchini BFT limesema hivi sasa linaendelea na mchakato wa kuunda timu ya Taifa ya Ngumi ya wanawake kwa ajili ya kushiriki mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Read more about BFT kutangaza kikosi cha Timu ya Taifa wanawake