Mwili wa mtu waokotwa bwawani Njombe Mtu mmoja aliyekadiriwa kuwa na umri wa 30 mpaka 35 amekutwa amefariki katika Bwawa Dogo lililopo katika Msitu wa TANWAT Eneo la Kibena Mjini Njombe Read more about Mwili wa mtu waokotwa bwawani Njombe