'Salima' ya Linex yavuka mipaka ya TZ Wasanii wa bongofleva Linex na Diamond Platnumz Star wa muziki Linex Sunday, amezungumzia mapokezi ya ngoma na video ya Salima aliyomshirikisha Diamond Platnumz, ikiwa ina wiki sasa toka kuachiwa kwake. Read more about 'Salima' ya Linex yavuka mipaka ya TZ