Sumaye auponda mfumo wa Elimu wa sasa Waziri mkuu wa zamani katika awamu ya tatu Fredick Sumaye. Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amesema kuwa mfumo wa elimu uliopo nchini haumwezeshi kijana wa Kitanzania kushindana kwenye soko la ajira la Afrika Mashariki. Read more about Sumaye auponda mfumo wa Elimu wa sasa