Mfumuko wa Bei waongezeka nchini Tanzania Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini. Mfumuko wa Bei za bidhaa na huduma kwa mwezi februari mwaka2015 umeongezeka hadi 4.2% toka 4.0% ukilinganisha na mwezi januari2015. Read more about Mfumuko wa Bei waongezeka nchini Tanzania