Njombe yatakiwa kuongeza uzalishaji wa Maziwa
MKUU wa mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi wamewataka wadau wa ukuzaji na uendelezaji wa maziwa kuhakikisha wafugaji wa mkoa wa Njombe hasa wanawake wanakuwa wazalishaji wakubwa wa maziwa na kuhakikisha mkoa wa Njombe unakuwa kinala wa uzalishaji.