Ligi kuu Bara kuendelea Kesho Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inatarajia kuendelea hapo kesho katika viwanja sita kutimua vumbi, michezo mitatu ikifanyika siku ya jumamosi na michezo mingine mitatu kufanyika siku ya jumapili. Read more about Ligi kuu Bara kuendelea Kesho