TFF-Yanga hawajaleta barua ya malalamiko
Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF limesema halikupokea barua yoyote ya malalamiko kutoka Klabu ya Yanga kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya mchezaji mwenye kadi pamoja na mabadiliko ya ratiba za mechi za Ligi kuu Soka Tanzania Bara.