Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali haitafumbia macho suala la mauaji ya walemavu wa ngozi kama hali ilivyokuwa kwa miaka ya nyuma.