Nape azuia mabadiliko ya bando kupisha tathmini #HABARI Waziri wa habari na mawasiliano Nape Nnauye ameyataka makampuni yanayotoa Huduma za mawasiliano kutoongeza gharama za bando ama kufanya mabadiliko yeyote mpaka pale tathimini itakapokamilika Read more about Nape azuia mabadiliko ya bando kupisha tathmini