Kansiime, Bascketmouth kusherehesha AFRIMMA 2015
Wachekeshaji mahiri wa Afrika, Anne Kansiime kutoka Uganda na Bascket Mouth kutoka Nigeria wamepata shavu la kusherehesha tukio la ugawaji tuzo za Africa Muziki Magazine, zitakazofanyika mwezi wa 10 nchini Marekani.