Mbunge John Komba afariki dunia Marehemu Kapt John Komba Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba amefariki Dunia leo saa 10 jioni katika Hosptali ya TMJ Mikocheni. Read more about Mbunge John Komba afariki dunia