Chamber Squad, Wasanii Dodoma wamuenzi Mez B

Chamber Squad na wasanii wa Dodoma

Wasanii wa muziki kutoka mkoani Dodoma na wale wanaounda kundi la Chamber Squad, wametumia wakati wao kuingia studio, na kutengeneza ngoma maalum kwa ajili ya kumuenzi Marehemu Mez B.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS