2 wafariki baada ya kuzama mtoni Kilimanjaro Watu wawili akiwemo mwanamke mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 47 wamefariki dunia kwa kuzama mtoni katika matukio mawili tofauti yaliyotokea wilaya ya Mwanga na Moshi mjini mkoani Kilimanjaro. Read more about 2 wafariki baada ya kuzama mtoni Kilimanjaro