Mpango wa amani wa Hamas na Israel waanza Wajumbe kutoka upande wa Hamas na Israel Jumanne hii wanaanendelea na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yalioanza jana nchini Misri kuhusu kumaliza vita vilivyotimiza miaka miwili huko Gaza. Read more about Mpango wa amani wa Hamas na Israel waanza