Wahitimu wa misitu wahimizwa kutoa ajira

Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu Tanzania (FITI)

Wahitimu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu Tanzania (FITI), wametakiwa  kutumia maarifa na ujuzi walioupata katika chuo hicho kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayoongeza kasi ya ukuaji wa sekta ya misitu na kutoa ajira kwa vijana wengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS