Makata Kocha Mkuu Tanzania Prisons
Timu ya Tanzania Prisons imemteua Kocha Mbwana Makata kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya kukatisha mkataba na aliyekuwa kocha wa timu hiyo David Mwamaja baada ya kuona kikosi hicho kuwa katika nafasi mbaya katika wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara.