Ufunguzi fainali za Kombe la Dunia 2022 Qatar

Mshindi wa Kombe la Dunia 1998 akiwa na Ufaransa Marcel Desailly, ndiye alikabidhiwa jukumu la kuonyesha kombe la dunia halisi kwenye uwanja wa Al Bayt Qatar ambapo fainali za 22.

Fainali za 22 za Kombe la Dunia zimeanza rasmi nchini Qatar leo Novemba 20, 2022, ambapo katika mchezo wa ufunguzi wenyeji Qatar wamekubali kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Ecuador.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS