Mashali ajitapa kumpiga Nyilawila March 27
Bondia Thomas Mashali amesema anaimani atampiga mpinzani wake Kalama Nyilawila katika Pambnano la kumaliza Ubishi linalotarajiwa kufanyika Machi 27 mwaka huu, Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.