Serikali yakemea vitisho kwenye ukusanyaji kodi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akikabidhi tuzo kwa mshindi wa jumla wa tuzo za mlipa kodi bora 2021/2022

Serikali ya Tanzania imekemea urasimu wa upatikanaji wa Tin namba kwa wafanyabiashara na kuacha kutoa vitisho kwa wafanyabiashara wakati wa ukusanyaji wa kodi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS