Wakutwa na nyama ya Nyati ya milioni 11.6 Nyati Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuwa ni majangili wakiwa na nyama ya nyati yenye uzito wa kilo 1,122 yenye thamani ya shilingi milioni 11.6. Read more about Wakutwa na nyama ya Nyati ya milioni 11.6