Mwandishi aliyegoma kula gerezani apata jibu
Mama na dada wa mwandishi mashuhuri wa Uingereza na Misri na mwanaharakati wa demokrasia, Alaa Abdel Fattah, wanatarajiwa kumtembelea baadaye hii leo kwa mara ya kwanza tangu alipoacha kunywa maji mapema mwezi huu.