Wazee wasisitiza sheria ya kulinda haki zao

Wazee na Mashirika ya kuhudumia Wazee mkoa wa Kigoma, wamesisitiza Serikali kukamilisha mchakato wa sheria inayosimamia haki za wazee na kuhakikisha wazee wanapata huduma kwa ukamilifu kulingana na mahitaji yao ikiwemo pesheni kwa wazee

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS