Taarifa ya awali ya ajali ya ndege yatolewa Ndege iliyopata ajali Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Read more about Taarifa ya awali ya ajali ya ndege yatolewa