Makalla aagiza wanaotupa taka hovyo wazomewe
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikaenda sambamba na kuwazomea Kama sehemu ya kuwafanya wajisikie aibu kwa kosa walilofanya.