Rais Zelensky atembelea mji wa Kherson
Siku moja baada ya vikosi vya Ukraine kuingia katika mji wa Kherson uliokuwa umechukuliwa na vikosi vya Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametembelea mji huo na kusisitiza kuwa vikosi vyake vinasonga mbele kukomboa miji iliyokuwa chini ya Urusi