Biden na Xi Jinping wakutana Indonesia Rais wa Marekani Joe Biden leo Novemba 14 amekutana na Rais wa China Xi Jinping katika mji wa Bali, Indonesia kwa ajili ya kujadili mahusiano kati ya nchi hizo mbili Read more about Biden na Xi Jinping wakutana Indonesia