Wasiofanya mitihani kusakwa

Wanafunzi wakifanya mtihani

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Jamhuri William ameagiza  kusakwa kwa  wanafunzi zaidi ya 190 ambao hawakufanya mitihani ya Taifa ya kidato cha pili kwa sababu mbalimbali ikiwepo, mimba na kuozeshwa ili waweze kuendelea na masomo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS