Mr T Touchez hajali nyodo za wasanii
Mtayarishaji muziki anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, Mr T Touchez amezungumzia suala zima la dharau kwa baadhi ya wasanii katika gemu ya muziki na kusema kuwa tabia hii ipo sana ingawa kwa yeye binafsi haimuathiri.