Serikali yaanza kuchukua hatua wizi katika benki

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Tanzania, Pereira Ame Silima.

Serikali imeanza kuchukua hatua za namna ya kukabiliana na wizi wa kimitandao, kwa kuvijengea uwezo vyombo vyake vya usalama, likiwemo jeshi la Polisi na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS