Mkubwa kunogesha na Sauti Sol
Aslay kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe la Yamoto Band, amesema kuwa albam ambayo inapikwa sasa kutoka katika kundi hili itahusisha wasanii kutoka nje ya mipaka ya Tanzania huku akijiandaa kufanya kolabo na kundi la Sauti Sol la nchini Kenya.