Kili Music Tour 'yaipagawisha' Dar es Salaam

Professa Jay na Mdogo wake wakilishambulia jukwaa

Tamsaha Kubwa la Muziki, Kilimanjaro Music Tour limamalizika kwa mafanikio makubwa katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi kutoka ndani na nnje ya jiji la Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS