Kili Music Tour, Dar nzima tunakutana Leaders Leo Jambo Squad jukwaani Siku ya leo onesho kubwa la Kilimanjaro Music Tour ndiyo gumzo la Jiji la Dar ambapo kuanzia sasa tunakutana pale Leaders Club hapo wapenda Burudani wote kusherekea muziki wa kikwetu kwetu. Read more about Kili Music Tour, Dar nzima tunakutana Leaders Leo