Lori lagongana na Arusha Express 6 wafariki Basi la abiria lililopata ajali Watu sita wamefariki dunia hii leo Novemba 13, 2022, na wengine 22 kujeruhiwa jijini Dodoma kufuatia ajali iliyohusisha basi la Arusha Express na Lori la mchanga katika eneo la Mzakwe jijini humo. Read more about Lori lagongana na Arusha Express 6 wafariki