JNIA - Terminal Three kukamilika Oktoba mwakani
Serikali ya Tanzania imesema upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambao utajulikana kama terminal three, utakamilika na kuanza kutumika mwezi Oktoba mwakani.