"Uongozi wa Rais kivutio cha watalii" - Dkt Chana

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, ameeleza kuwa uongozi bora wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amani iliyopo nchini Tanzania ni kivutio kikubwa kwa wawekezaji kwenye sekta ya utalii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS