Wakimbizi 1514 wa Somalia wapewa uraia wa Tanzania
Baadhi ya wakimbizi kutoka Somalia wakila kiapo
Jumla ya wakimbizi 1514 kutoka Somalia wamepewa uraia wa Tanzania leo, ambapo waziri wa mambo ya ndani Mh. Mathias Chikawe amewaagiza kuilinda amani ilipo nchini