Cindy Sanyu: Mario si muoaji Cindy na mpenzi wake Mario wakiwa na mtoto wao Mwanadada Cindy Sanyu, Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, ameweka wazi kuwa, sababu ya kuachana na Mario ambaye ni baba wa mtoto wake, ni kutokana na kuona hana malengo ya kuhalalisha mahusiano yao kwa kumuoa. Read more about Cindy Sanyu: Mario si muoaji