Mahakama kuu yafuta kesi dhidi ya waziri Pinda
Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imetupiliwa mbali Kesi iliyokuwa imefunguliwa na Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda.