Mama yake Zitto kuzikwa Kigoma leo
Mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma kaskazini Zitto Kabwe, Bi. Shida Salumu ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA) na pia mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Bi Shida Salum, anatarajiwa kuzikwa hii leo.