Stars yatua wadau wataka ijipange kwa Msumbiji
Wadau wa soka wameendelea kuipongeza timu ya taifa ya soka ya Tanzania taifa stars nakulitaka shirikisho la soka nchini TFF kuipeleka kambini haraka badala ya kuanza kusherehekea ushindi huo huku kukiwa na mchezo mgumu mbele